Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani kuku na kitimoto hata niwashuhudie wanakula takataka gani siwezi kuacha kula, hao wanyama acha kabisa. Lakini bora wao wanazaliwa, kambare wanajizalisha.
Umeona uingizie na kitimoto Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyakyusa kwenye ubora wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila ni lazima mjue kuwa mkoa wa Songwe bado mpya, ndiyo kwanza hata miaka 5 haujafikisha
Na kwa bahati mbaya umekutana na kipindi hiki ambacho nchi inajenga SGR na Stieglers hydropower Dam.
Vinginevyo Serikali ingepeleka huduma zote kama zile zinazoonekana Mbeya
Ila stendi ya Vwawa ni mbovu sijapata kuona alafu ndio stendi ya mkoa ....... Sema Songwe inabebwa na Tunduma
 
Umetembea mjini
Mimi nimetembea vijijini .
.nikikuuliza hapa tukuyu,kyela na mbarali umetembea vijiji vingapi jibu litakuwa kasumulu na matema tu.

Nimiuliza songwe,ileje na momba umetembea vijiji vingapi jibu Ni tunduma na vwava
Airport Haijalishi watu Gani wanaitumia lakini ipo songwe.

Vwawa na mbeya mjini hapalingani kwa sababu mbeya mjini palibeba makao ya mkoa Tangu muda,vwawa ilikuwa kijimji tu ambacho kimepewa hadhi kubeba mkoa

Kuhusu stand na miundombinu mingine,itaboreshwa Ni swala la muda.

Hii mbeya unayoiona ulivyokuja mwaka juzi hapa na stand unayotamba nayo imejengwa juzi tu hapa.
Tulikua na stand ya mabatini kule..ambayo Ni mbovu kuliko hatA ya mbozi.
Vwawa Ni swala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu vwawa pia pamepooza sana yaani hapaendani na kuwa makao makuu ya mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu boss Atakuwa Anajua hiki kitu
Ila huyu karma Wala usihangaike Sana kumuelezea ..anaongea ili ajiburudishe tu..wala usiwe na wasiwasi naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…