Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naafiki suala hili kwa maana wakati wa baridi mwili huwa na mawasiliano hafifu kwasababu hormones na enzymes wanakuwa inactive wakati wa baridi.
Wakati wa mawasiliano ya mwili kuna kitu kinaitwa nerve cell ambapo baina ya cell moja na nyingine kuna nafasi ambayo hutenganisha cell hizo.
Mawasiliano baina ya cell hizo ni kwa sababu ya uwepo wa hormone, hivo wakati wa baridi hormone hizo huwa inactive(uvivu)
Wakati wa joto hormones huwa active(changamfu).
Ndo maana watu hushindwa kugombana wakati wa baridi kuliko wakati wa joto.
Kuna uwezekano mkubwa wa kupigana na mtu wakati wa kipindi cha Joto kuliko Baridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa...
 
Hatari sasa duuh watu watageuka waganga
Utafiti: Kuna uwezekano wa kufanikiwa jambo lako kwa kiasi kikubwa kama utavaa nguo za rangi "Nyekundu". Tafiti mbalimbali zimeonesha, timu zinazovaa Jezi nyekundu zimeongoza kwa kushinda zaidi tofauti na timu zenye jezi rangi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…