Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro naumwa kweli, na nina dalili zote ila naogopa kwenda kupima
Kama uko siriazi nenda ukapime haraka. Kwa umri wako huo hata ukiwa nao utapona tu. Ila kumbuka kwamba kwa jinsi unavyokuwa na wasiwasi ndivyo unaharibu immune system yako.

(Ila siku hizi mtu hata ukikohoa tu moyo huoooo. Utafikiri kabla ugonjwa huu haujaja tulikuwa hatuugui homa na mafua. Naamini uko OK [emoji1545][emoji1545])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…