Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli nimeishiwa ila mahari hukumaliza ulitupiga chenga ukaanza kusema eti tuchukue bata na kuku badala ya ng'ombe. Umesahau?

Malizia mahari shemeji mambo yaishe familia yako itulie na kuwa na amani....
Kisukuma, Mashemwji ndio wanafuata mahari sasa sikumaliza vipi na mliacha ndama tu kwenye zizi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…