Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka si kwa uzoefu huo [emoji28][emoji28][emoji28].
Makofi kwetu wanawake wote tunaojikubali na kuridhika na uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
 
Haya mawatu yalikuwa majinga sana ..unakuta yako kama ishirini au thelathini Halafu limwarabu liko limoja au lizungu halafu wanashindwa mfanya chochote. Angalia hapo yako kama yote viwazungu viwili tu lakini hamna kitu wanafanya
Mbona hata sasa tumefanywa mazuzu na watu wachache, au we huoni?
 
Happy birthday kwake kaka yangu, Shimba mwenyewe.
Mwenyezi Mungu azidi kukupa miaka mingi zaidi uzeeke hadi uwe wa kubeba. Ila uzeeke ukiwa na hela[emoji1][emoji1][emoji1].
Uzidi kujaaliwa maisha marefu na yenye Baraka, kupitia kwako tuzidi kujifunza mengi.
Ujaaliwe hekima kama za Mfalme Suleiman na uzidi kupewa kibali cha kuinuliwa na kukubalika kama cha Samweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…