Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipimo 9 ambavyo angalau unashauliwa kuvipima kabla ya kusaini cheti cha ndoa.

1. HIV
2. Hepatitis B
3. Hepatitis C
4. Other STI's
5. Genotype
6. Blood grouping and Rhesus factor
7. Fertility profile
8. Chronic medical conditions
9. Sickling screen Test
 
Duh sasa hapo bro unapata hewa kweli?
 
Duh sasa hapo bro unapata hewa kweli?
Ndiyo napata. Na kwa vile sikai hapo kwa muda mrefu siyo ishu kihivyo. Na hii nafanya kwenye misongamano tu ambapo siyo rahisi kuwa na social distancing. Kwingineko N95 moja inatosha. Tatizo ni uhenga Esta...na hapa kanisani ninaposali kulikuwa na outbreak kweli kweli wazee kibao wameondoka...Extremely sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…