moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poleni sana,Zinafanya kazi kwenye ofisi za Tanesco pekee, na kwa mawakala wachache, mfano eneo nililopo ni mkoani na kwa wakala mmoja tu.. Mkoa mzima... Mambo ya ajabu sana
Inasikitisha sana aiseenimeona folen ndeeefu mno town watu wamechoka balaa ile kusubiri tu
Shukrani broPoleni sana,
Maisha ya kijijini yanatukumbusha nyuma huko
Kuna jamaa kule twitter kawatia watu nyege kweli leo analia..Someone said thereβs a reason why cryptocurrency starts with βcryβ ..π
Kwa hiyo wazee mnasemaje yanii..?
π
WaTz si wafatiliaji, si wasomaji na wala si wawekezaji wazuri kwenye mambo kama haya.Kuna jamaa kule twitter kawatia watu nyege kweli leo analia..
Wanashangaza sana.. eti network hakunaπTanesco wana mambo ya ajabu sana
πππKwann usubiri hadi uachwe mkuu, wakati tayali umeshaona dalila zote za kina kirefu cha maji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1791107
Foleni ya kununua luku, na hapo ni mapema
Duuh..What is this?
View attachment 1790844
Duuh!