mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu Leo umeamuaCurvatures and apertures
Hata haijaanza kukoleaBerishaza berishaza akaanza kudharau watu.
Kumbe safari bado
Ooohhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] mijibaba ya humu ndo ilivyo
Hahaahaaaa nipo na kijana wangu KK...Hahahah...Huyo ni wewe na yeye!?...
Umekutwa una dosariUfalme wako umepimwa kwa mizani
Can she?R.I.P
Hata haijaanzaSafari bado[emoji445] [emoji445] [emoji445]
Kweli kabisa tumepata marafiki wa kweli. Siku mjua Carba kabla leo najivunia ushauri wake.Mimi hata sikumbuki niliingia lini na ilikuaje,ila ninachoshukuru nimepata marafiki japo hatujuani and am happy here...mbarikiwe nyote mana nimekua ni mwenye furaha mara zote nikiwa humu...nawapenda nyote[emoji8][emoji8][emoji8]
Mungu anipe afya ili niitwae,inisaidie kutafutia wachumba humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo ninahakika itakuwa ina ushindani mkubwa
Pokea like kwanzaTulirudi salama kabisa.
Nimerudi kundini tu shem
KaribuAsante sana
La uhakikaHahahahaha weka lindo
KaokokaKK leo ni mwendo wa gospo tu sijui kimemkuta kipi mana si kawaida
Wageni haoTumeliona hili tunaendelea kukumbushana kulike ndio lengo la Uzi huu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Labda hata kanga uwe unaenda kuoga bafu la nje hiviii[emoji39] [emoji39] [emoji39]Unataka nivae nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jema lakini msikilize polepoleKuna mhenga mmoja anaitwa Ruta... Naona ananitafuta na jumapili hii
utafika 2 babe s:Nitafika kweli...
UpoBrother mkubwa habari