Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kwa mkapa mbona kama hakuna mashabiki vile ?
 
Almost FT
2-0
 
Kusema haki 'Pitch' za viwanja vya Kenya ni nzuri sana kuliko yetu ya Benjamin Mkapa.
Yani uwanja sehemu ya kuchezea kama haijafanyiwa matengenezo vile.
 
Lile kundi la kenya bana
 
18'
Game on
MAD 0- 0 MTN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…