Soon itakuwa Mtibwa isiyolima miwa.Hivi hii singida big stars iliyouzwa na kubadilishwa jina kuwa singida fountain gate itaendelea kusajili wachezaji mahiri wa gharama kubwa au ndio mwanzo na mwisho wake? Hao fountain gate wana uwezo gani wa kufanya usajili wa maana au ni abrakadabra tu timu ijifie zake kimyakimya?
Wapumbavu waliokuwa wanadanganya wenzao eti Pitso anakuja kufuga vyura jangwani
Hata kama wana uwezo wa kumlipa Pisto sasa hivi profile yake sio ya kufundisha huku kwetuYaani pitso aje yanga? Pale all haly alikuwa analipwa million 250 kwa mwezi yaani bajeti yenu ya miezi 3 mtu anachukua mwezi 1
Duuuuh so huyu jamaa kaona milioni 660 ni Bora Bora kuliko milioni 920Tetesi : Inaelezwa kwamba Beki Wa Pembeni Wa Simba Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' amekubali kusaini dili la miaka mitatu kwa kupewa Shillingi 300 milioni na mshahara wa Shillingi 10 milioni.
Ofa aliyopewa na Kaizer Chiefs dau la Shillingi 200m na mshahara wa Shilingi 20m kwa mwezi imebuma baada ya mabosi wa Simba kupambana na kumalizana na beki huyo.
Ubabaishaji huu, Helmi ni team ya Nabi.Helmy Gueldich(kocha wa viungo Yanga) kutimkia Afrika kusini kwenye klabu ya Orlando Pirates au Kaizer Chiefs
Nabi ndo aliyemwajiri Helmy? Walianza kazi siku moja?Ubabaishaji huu, Helmi ni team ya Nabi.
Yanga kumbe wana bodiView attachment 2669109
ANGA inawasiliana ili kumsaini Zougrana(21,🇮🇪)!
Young Africans sasa wanaendelea na mazungumzo ya kumsajili Mo Zougrana baada ya kumuongezea mkataba Sure Boy 🚨
- Mazungumzo yanaendelea sasa kutafuta ‘muundo’ sahihi wa dili hilo huku Yanga wakisukumana tangu jana kumsajili Zougrana.🔰
- Yanga sasa wanajiamini kufikia makubaliano katika siku chache zijazo 🇮🇪
🚨Elewa:::: Yanga wanasukuma kukamilisha Dili hili ndani ya wiki hii
- Msukumo wa Aziz Ki kutaka Zougrana awe Yanga na bodi inajitahidi kufikia makubaliano haraka iwezekanavyo. ⌛️