Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Salaam ndugu zangu,
Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake.
Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa.
Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) na ligi nyingine duniani.
Karibu pia kuweka tetesi unazozipata kutoka vyanzo mbalimbali ili mwishoni tujue mbivu na mbichi.