Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1685453167834.png

Salaam ndugu zangu,

Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake.

Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa.

Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) na ligi nyingine duniani.

Karibu pia kuweka tetesi unazozipata kutoka vyanzo mbalimbali ili mwishoni tujue mbivu na mbichi.
 
1685450466279.png

Tetesi zinadai kwamba Klabu ya Simba ipo kwenye mjadala na Winga wake wa zamani Luis Miquisone ikifanya jitihada za kutaka kumrejesha kama mbadala wa Mghana Okrah ambaye imebainika ataachwa mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo hicho kinadai kwamba majadiliano yapo zaidi kwenye kiwango cha mshahara cha mchezaji huyo.

Je Simba watafanikiwa?

Unafikiri akirudi itakuwa uamuzi sahihi?
 
João Félix will NOT stay at Chelsea next season. Pochettino has decided, João returns to Atléti.

“We have been informed that Poch does not count with João Félix for Chelsea. He will return here, we’ll see… we’ve nothing planned”, Atlético president Cerezo has announced. [F R]
 
1685450711875.png

Inadaiwa kuwa Nabi anaweza kuondoka Yanga mwishoni mwa msimu huu

Nabi alishapewa kishika uchumba na team moja kubwa barani Africa hivyo mda wowote kuanzia sasa anaweza kusepa

Yanga wanapaswa kuanza mpango mwingne wakutafuta coach

Wananchi hapo vipi 👀
 
Ten Hag confirms plan to sign new GK to create competition, as revealed months ago: “De Gea will stay but I will not say he’ll always be my N1 GK”, tells Times.

“I say this because in a club like #MUFC there must be competition always, in all positions”, ten Hag added.
 
Back
Top Bottom