Weka uzi wenyewe topic yenyeweKuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kilakitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam
I'm Done
Mkuu, ebu turudi kwenye maisha yetu ya halisi. Ninaamini unao wazazi, ndugu, jamaa na marafiki.View attachment 2176532
Yote yameanzia hapo
Mkuu, ebu vaa kiatu kwamba wewe ndio mume. Je ungeweza kulibeba hili?? Ama unataka kufurahisha tu watu hapaHuyo mmiliki wa sasa ni mjinga. Alitakiwa ampende mkewe zaidi kwa kujua ni mtamu mpaka watu wanashindwa kumsahau.
Ujinga wake unaenda mbali zaidi kwa kumaindi vitu ambavyo vilitokea kabla hajamuoa. Sasa hapo alikuwa na control gani? Kama swala ni hilo alilokuwa anapewa mwenzie na yeye si aombe tu.
Sasa mtu unasifia mke wa mtu bila kitumia codesKuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam
Hata kama lakini ukweli haufichikiMkuu, ebu turudi kwenye maisha yetu ya halisi. Ninaamini unao wazazi, ndugu, jamaa na marafiki.
Ebu waulize kama hii ulioandika hapa nisawa?
Sawa mkuu, what if alieandikwa hapa ni mama yako ama dada yako ama mke wako??Uyo jamaa ni fala, umeoa mwanamke kashatumika ina maana tayari umekubaliana na chochote.
Atulie tu kama mke wake katulia, kuna mambo huwezi mlaumu mtu hasa haya yanayofanyika wakati wa balehe(foolish age).
Sasa dada wa watu ana kosa gani ?Mkuu, ebu vaa kiatu kwamba wewe ndio mume. Je ungeweza kulibeba hili?? Ama unataka kufurahisha tu watu hapa