Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali "tena kamsifia sana". Kumbe yule mwali alisha olewa na jamaa ni member mtiifu hapa JF na ameuona ule uzi.
Hiyo nyumba moto umewaka na mwenye mke anaumizwa na kile "Mleta mada alicho sifia kwamba alikuwa anapewa". Mwali ameapa kwamba "nothing special yenye alimpa x wake" na jamaa kagoma hapa tupo kwa wazee tunasuluhisha.
Wakuu ebu tumieni hii mitandao pasipo kubomoa kwa wengine ona sasa leo huku panawaka na hapa mnachekelea.
I'm Done