Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.

Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali "tena kamsifia sana". Kumbe yule mwali alisha olewa na jamaa ni member mtiifu hapa JF na ameuona ule uzi.

Hiyo nyumba moto umewaka na mwenye mke anaumizwa na kile "Mleta mada alicho sifia kwamba alikuwa anapewa". Mwali ameapa kwamba "nothing special yenye alimpa x wake" na jamaa kagoma hapa tupo kwa wazee tunasuluhisha.

Wakuu ebu tumieni hii mitandao pasipo kubomoa kwa wengine ona sasa leo huku panawaka na hapa mnachekelea.

I'm Done
 
Screenshot_20220405-130002.png

Yote yameanzia hapo
 
Huyo member mtiifu naye hajielewi tu.

Sisi tuko kwenye ndoa na tunasimuliana habari za ma X zetu na maisha yanasonga sembuse mambo ya mtandaoni!

Kama angekuwa bado anakutumia hapo sawa...

Ila mambo ya kale?

Mwambie aache upuuzi
 
Huyo mmiliki wa sasa ni mjinga. Alitakiwa ampende mkewe zaidi kwa kujua ni mtamu mpaka watu wanashindwa kumsahau.

Ujinga wake unaenda mbali zaidi kwa kumaindi vitu ambavyo vilitokea kabla hajamuoa. Sasa hapo alikuwa na control gani? Kama swala ni hilo alilokuwa anapewa mwenzie na yeye si aombe tu.
 
Mkuu, ebu vaa kiatu kwamba wewe ndio mume. Je ungeweza kulibeba hili?? Ama unataka kufurahisha tu watu hapa
 
Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code.
Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam
Sasa mtu unasifia mke wa mtu bila kitumia codes
 
Hata kama lakini ukweli haufichiki
Upo sawa mkuu...
Lakini wewe unapata faida gani ya kuja kumuandika x na ukamsifia hapa wakati haujui kwasasa anaishi maisha ya ainagani na nani na wapi??
 
Uyo jamaa ni fala, umeoa mwanamke kashatumika ina maana tayari umekubaliana na chochote.

Atulie tu kama mke wake katulia, kuna mambo huwezi mlaumu mtu hasa haya yanayofanyika wakati wa balehe(foolish age).
Sawa mkuu, what if alieandikwa hapa ni mama yako ama dada yako ama mke wako??
 
Back
Top Bottom