Nafasi zipo tatu tuπππsema hatukuwa wengi sana kama wa engineering na geologyπππ Nafasi ni ngapi mzee mnazowania
Ila matumaini yapo mkuu au tuawachie waamue waoNafasi zipo tatu tuπππsema hatukuwa wengi sana kama wa engineering na geology
Kwahyo na enjinia siku hz taarifa wamekuwa wengiπ€π€Nafasi zipo tatu tuπππsema hatukuwa wengi sana kama wa engineering na geology
aaahππππtuachie waamue aseeh sina uhakikaIla matumaini yapo mkuu au tuawachie waamue wao
Walikua wengi leo sijui wametoka wapiKwahyo na enjinia siku hz taarifa wamekuwa wengiπ€π€
Walitaka kutuulia watu kwa mkunjo huo aiseeeNimekutana na mdada wa clearing and forwarding anasema hajaelewa swali loloteπππππ
ππππLakini fresh tu mapambano yanaendeleaWalitaka kutuulia watu kwa mkunjo huo aiseee
Hapo umenena mzee haina kupoa mimi nikikuhadisia saili nilizopiga mtu mwengine angeshakata tamaaa ila sijapoa napambana kote kote life la kitaa na fulsa ikitoka napambana nayo piaππππLakini fresh tu mapambano yanaendelea
Kanuni ya Jobless na ukiwa huna chanzo cha mapato, haipaswi kutumia gharama kubwa sana pasipo kuwa na ulazima isipokuwa penye ulazima.Hahaha, kwenye gharama kweli ni hatari kwa watafutaji. Ila kwa hizo huduma zinaridhisha sana, hata pesa yako inakwenda kihalali.
Asante sana kwa mrejesho Mkuu. Naamini wanaomudu watafika hapo.
Sijapata mtu wa kushare naye, niliambatana na mdada ambaye na yeye alichukua room yakesasa kwanini msishee room moja kupunguza garama
Hapo umenena mzee haina kupoa mimi nikikuhadisia saili nilizopiga mtu mwengine angeshakata tamaaa ila sijapoa napambana kote kote life la kitaa na fulsa ikitoka napambana nayo pia
Saili imefika tamati muda wa saa saba na dk kama 20 hivi kwa siku ya leo.Saili zimeaandaje hapo PSRS.. au bado watu wanaendelea kuenyeka Hadi time now..?
Kanuni ya Jobless na ukiwa huna chanzo cha mapato, haipaswi kutumia gharama kubwa sana pasipo kuwa na ulazima isipokuwa penye ulazima.
Kwa hiyo tuishi humo humo