Huduma zilikuwa nzuri, yaani ukiwa ndani ya room ni shwari kama kuna AC vile ingawa kuna feni za kawaida ambapo mimi sikuwahi kuziwasha.Hahaha, kama namuona Mkuu namna alivyokuwa anapata huduma nzuri huku roho inauma kwenye kuzilipia.
Nimekosa mbili tu😂😂😂😂 yani nikasema utumishi wameshindwa kunifikilia mimi jobless kweliii?😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Machungu ya kukosa marks 8 nilikuwa siyawazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale huwa wanasahisha ila wanafata majibu yao tu yani ukileta maelezo sijui nini hawaelewi kabisa wanachotaka kama hapa ni maembe andika maembe ukiandika sijui matunda wanakula kichwa tu
😂😂😂😂Hawatakagi concept wale yani ni short and clear kama ni andazi andika andazi ukianza tu ni kitafunwa sijui cha ngano hawakuelewi😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana pepa yetu ilikuwa na maswali simple ila tumechezea chache sana maana najua watu wengi waliandika majibu ya concepts
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah tupeni uzoefu aiseh Yale maswali mnajibuje na je mnamalizaga kwa muda haswa ya shortlist na wao wanatakaje majibu deep au partially!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawatakagi concept wale yani ni short and clear kama ni andazi andika andazi ukianza tu ni kitafunwa sijui cha ngano hawakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuuPamoja na mateso yote wakuu, aliyesoma kasoma. Afadhali ya wewe unayeteseka muda huu, lakini matumaini ya kesho yako kubadilika ghafla ni makubwa.
😂😂😂😂 Utumishi inatakiwa uwazoee tu wanazingua sana sema tushazoea kukandwa tu freshSema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana
Hakika umeacha alamaUhindini ,keko ,cda , chako ni chako , pestana nenda pale malaika pub karib na shabiby bus terminal au sogea rainbow ukishindwa basi nenda waswanu pub usipopata utakuwa ni bahili
Kuongezea
Mwanga bar
Maisha club
Usisahau kutumia dhana
Utumishi wamesabibisha sana mimi kutalii huu mji
Hilo gari angepata au alipagawa [emoji2]Sema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umetalii sana mji wakiserikali hahhhh kuna mwamba jana kaingia na pisi kaiwashia Moto afu akasinzia kuja kuamuka imeondoka na wallet
Halafu ukute kachaguliwa oral ela ya kuendelea kubaki hapa jijini imeenda [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umetalii sana mji wakiserikali hahhhh kuna mwamba jana kaingia na pisi kaiwashia Moto afu akasinzia kuja kuamuka imeondoka na wallet
Wamesema ni ya darasaniduuuh wameuliza nini kwenye oral??au madesa ya darasani tu??
Napatikana,mkuuJamani yule wa lodge Dom mbona hapatikani tena kwenye simu?? Chitoholi
Maswali yanaisha mbona sema uwe na speed nakujibu ni short sio maelezo debe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah tupeni uzoefu aiseh Yale maswali mnajibuje na je mnamalizaga kwa muda haswa ya shortlist na wao wanatakaje majibu deep au partially!???
Hahahaa, hiyo mbili utapata DUCENimekosa mbili tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nikasema utumishi wameshindwa kunifikilia mimi jobless kweliii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nimeze madesa sasaWamesema ni ya darasani
😂😂😂😂Utakuta ikaongezeka ikawa 10Hahahaa, hiyo mbili utapata DUCE
Sasa turudi kumeza point kavu kavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawatakagi concept wale yani ni short and clear kama ni andazi andika andazi ukianza tu ni kitafunwa sijui cha ngano hawakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuuMaswali yanaisha mbona sema uwe na speed nakujibu ni short sio maelezo debe