Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Huduma zilikuwa nzuri, yaani ukiwa ndani ya room ni shwari kama kuna AC vile ingawa kuna feni za kawaida ambapo mimi sikuwahi kuziwasha.Hahaha, kama namuona Mkuu namna alivyokuwa anapata huduma nzuri huku roho inauma kwenye kuzilipia.
Ila ukitoka nje ya Lodge ni baridi kama lile la kule nje Auditorium.
Kulipa huwa nalipa moja kwa moja kabisa nikishapewa ufunguo