Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Hahaha, kama namuona Mkuu namna alivyokuwa anapata huduma nzuri huku roho inauma kwenye kuzilipia.
Huduma zilikuwa nzuri, yaani ukiwa ndani ya room ni shwari kama kuna AC vile ingawa kuna feni za kawaida ambapo mimi sikuwahi kuziwasha.

Ila ukitoka nje ya Lodge ni baridi kama lile la kule nje Auditorium.

Kulipa huwa nalipa moja kwa moja kabisa nikishapewa ufunguo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Machungu ya kukosa marks 8 nilikuwa siyawazi
Nimekosa mbili tu😂😂😂😂 yani nikasema utumishi wameshindwa kunifikilia mimi jobless kweliii?😂😂😂😂
 
Wale huwa wanasahisha ila wanafata majibu yao tu yani ukileta maelezo sijui nini hawaelewi kabisa wanachotaka kama hapa ni maembe andika maembe ukiandika sijui matunda wanakula kichwa tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio maana pepa yetu ilikuwa na maswali simple ila tumechezea chache sana maana najua watu wengi waliandika majibu ya concepts
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio maana pepa yetu ilikuwa na maswali simple ila tumechezea chache sana maana najua watu wengi waliandika majibu ya concepts
😂😂😂😂Hawatakagi concept wale yani ni short and clear kama ni andazi andika andazi ukianza tu ni kitafunwa sijui cha ngano hawakuelewi😂😂😂😂
 
Sema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawatakagi concept wale yani ni short and clear kama ni andazi andika andazi ukianza tu ni kitafunwa sijui cha ngano hawakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah tupeni uzoefu aiseh Yale maswali mnajibuje na je mnamalizaga kwa muda haswa ya shortlist na wao wanatakaje majibu deep au partially!???
 
Sema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana
😂😂😂😂 Utumishi inatakiwa uwazoee tu wanazingua sana sema tushazoea kukandwa tu fresh
 
Uhindini ,keko ,cda , chako ni chako , pestana nenda pale malaika pub karib na shabiby bus terminal au sogea rainbow ukishindwa basi nenda waswanu pub usipopata utakuwa ni bahili

Kuongezea
Mwanga bar
Maisha club

Usisahau kutumia dhana

Utumishi wamesabibisha sana mimi kutalii huu mji
Hakika umeacha alama
 
Sema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana
Hilo gari angepata au alipagawa [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umetalii sana mji wakiserikali hahhhh kuna mwamba jana kaingia na pisi kaiwashia Moto afu akasinzia kuja kuamuka imeondoka na wallet
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

One baharia down...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umetalii sana mji wakiserikali hahhhh kuna mwamba jana kaingia na pisi kaiwashia Moto afu akasinzia kuja kuamuka imeondoka na wallet
Halafu ukute kachaguliwa oral ela ya kuendelea kubaki hapa jijini imeenda [emoji2]
 
Nimekosa mbili tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nikasema utumishi wameshindwa kunifikilia mimi jobless kweliii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa, hiyo mbili utapata DUCE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawatakagi concept wale yani ni short and clear kama ni andazi andika andazi ukianza tu ni kitafunwa sijui cha ngano hawakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa turudi kumeza point kavu kavu
 
Back
Top Bottom