Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

One baharia down...
Nilimwambia fanya yote lakini asisinzie sasa yeye kajikuta shwaziniga asubuhi nimecheka yani apo achanganye na maumivu ya pepa
 
kama huna pesa safiri jioni fika dodoma usiku, lala stendi kuu ya mabasi pale ni salama na jengo la kulala ni zuri mtakutana wengi tu. Alafu asubuhi anza kufanya safari yako kwenda mahali pa usaili ulipopangiwa. kwa usafiri wowote huwezi tumia dakika zaidi ya 30 kutoka stendi kwenda mahali ulipopangiwa usaili.
 
Wao utumishi walishasema gharama zote ni juu yako, kwa hiyo wanaweza kukusubirisha hata wiki kabisa.

Imagine kuna written ya tarh 24, halafu oral tarh 27. Endapo wakitoa majibu usiku wa trh 26, tutaumia sana na gharama
 
Aje Nghonghona,vyumba vizuri,bei ya kawaida.Anicheki.
 
Halafu ukute kachaguliwa oral ela ya kuendelea kubaki hapa jijini imeenda [emoji2]
Niliwahi kupoteza wallet ikiwa na hela zote, nilikuwa safarini, nilikoma nimeapa sitaweka tena hela kwenye walet maana hadi sasa sijanunua nyingine tena.

Hela naweka kwenye mfuko wa sufuali nyuma na kufunga kifungo, zile ndogo ndogo za kutumia naweka mfuko wa mbele. Endapo ikitokea nimepoteza vitu vingine, hela nitabaki nazo.

Kuhusu case ya jamaa, hela angeficha sehemu nyingine, walet angeiacha tupu, angekuwa safe
 
Mimi nilipoteza vitambulisho vya muhimu nachukia sana wallet
 
Akalale hostel za UDOM, Humanity/ social. Au aende COED, ng'hong'hona Au alale nanenane stand, mbona pazuri tu. Au aende uswahilini huko mailimbili nk
Na ukizingatia vikao vya kamati za bunge vimeanza, dodoma inafurika [emoji3][emoji3][emoji119]
Kwani chuo sikimefungwa huko hostel unamkuta nani?
 

Inawezekana wanafanya makusudi ili kuchekecha watu wapungue, maana safari hii walioomba ni wengi na ni wachache sana waliofanya makosa yanayobatilisha maombi yao.
 

Duh! Asante sana Mkuu kwa haya maelezo ya kina.
 

Hahaha, Mkuu kwa hii Royo tua, japo jambo lako halikwenda ulivyotaka, naamini kuna mengi sana umejifunza pamoja na kufurahia.
 

Ohooh, sawa sawa Mkuu. Vipi lakini ushauri wa Kunguru wa Manzese hujaufuata?
 
Nimekosa mbili tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nikasema utumishi wameshindwa kunifikilia mimi jobless kweliii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, hata wanngejiongeza angalau wakuchukulie mbili kwa aliyeongoza pepa kwa sababu haitamuathiri chochote.
 

Hahaha, huu msamiati “kukandwa” naona unazidi kushika kasi sana kwenye matumizi.
 

Asante sana Mkuu kwa ushauri wako mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…