Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

One baharia down...
Nilimwambia fanya yote lakini asisinzie sasa yeye kajikuta shwaziniga asubuhi nimecheka yani apo achanganye na maumivu ya pepa
 
kama huna pesa safiri jioni fika dodoma usiku, lala stendi kuu ya mabasi pale ni salama na jengo la kulala ni zuri mtakutana wengi tu. Alafu asubuhi anza kufanya safari yako kwenda mahali pa usaili ulipopangiwa. kwa usafiri wowote huwezi tumia dakika zaidi ya 30 kutoka stendi kwenda mahali ulipopangiwa usaili.
 
Sema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana
Wao utumishi walishasema gharama zote ni juu yako, kwa hiyo wanaweza kukusubirisha hata wiki kabisa.

Imagine kuna written ya tarh 24, halafu oral tarh 27. Endapo wakitoa majibu usiku wa trh 26, tutaumia sana na gharama
 
Huko zimechangamka mkuu.

Ukitaka ya 25k nenda barabara ya 10 kule mjini inaitwa Good Samaritan Lodge. Ina huduma nzuri ikiwemo Chai.

Pia kuna Guest inatwa Seja, ipo maeneo ya Msikiti wa Gaddaf, bei ni 12k na 10k sio self.

Kuhusu usafiri sasa ndio utapambana maana huko ni mbali sana na UDOM
Aje Nghonghona,vyumba vizuri,bei ya kawaida.Anicheki.
 
Halafu ukute kachaguliwa oral ela ya kuendelea kubaki hapa jijini imeenda [emoji2]
Niliwahi kupoteza wallet ikiwa na hela zote, nilikuwa safarini, nilikoma nimeapa sitaweka tena hela kwenye walet maana hadi sasa sijanunua nyingine tena.

Hela naweka kwenye mfuko wa sufuali nyuma na kufunga kifungo, zile ndogo ndogo za kutumia naweka mfuko wa mbele. Endapo ikitokea nimepoteza vitu vingine, hela nitabaki nazo.

Kuhusu case ya jamaa, hela angeficha sehemu nyingine, walet angeiacha tupu, angekuwa safe
 
Mimi nilipoteza vitambulisho vya muhimu nachukia sana wallet
 
Akalale hostel za UDOM, Humanity/ social. Au aende COED, ng'hong'hona Au alale nanenane stand, mbona pazuri tu. Au aende uswahilini huko mailimbili nk
Na ukizingatia vikao vya kamati za bunge vimeanza, dodoma inafurika [emoji3][emoji3][emoji119]
Kwani chuo sikimefungwa huko hostel unamkuta nani?
 
Nishaanza kufukua madesa hapa.

Pepa ya juzi ilikuja General ndani ya professional huku mimi nilijiandaa kulingana na majukumu ya mwajiri, nilichokikuta ndani nikapigwa na butwaa.

Hivyo hivyo walioenda oral wanasema wanaulizwa mambo mengine hata job description haijagushwa.

Sasa hapa inabidi nijiandae kwa ujumla huku mambo ni mengi hatari.

Mrija wa Asali kuufikia sio kazi rahisi aisee..

Inawezekana wanafanya makusudi ili kuchekecha watu wapungue, maana safari hii walioomba ni wengi na ni wachache sana waliofanya makosa yanayobatilisha maombi yao.
 
Huko zimechangamka mkuu.

Ukitaka ya 25k nenda barabara ya 10 kule mjini inaitwa Good Samaritan Lodge. Ina huduma nzuri ikiwemo Chai.

Pia kuna Guest inatwa Seja, ipo maeneo ya Msikiti wa Gaddaf, bei ni 12k na 10k sio self.

Kuhusu usafiri sasa ndio utapambana maana huko ni mbali sana na UDOM

Duh! Asante sana Mkuu kwa haya maelezo ya kina.
 
Hahahaa, jana si ilikuwa siku ya kusubiri matokeo, niliamka mida ya saa 3 asubuhi, kwenda kujimwagia maji nikatungua koki ya hot water, asalaleee kumbe maji yalifika Farenheit 212, si nikachomwa mwili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], nikaamua kufungua koki na Cold water zikaenda simultenously ndipo yakapozwa nikaendelea kuyafurahia

Hahaha, Mkuu kwa hii Royo tua, japo jambo lako halikwenda ulivyotaka, naamini kuna mengi sana umejifunza pamoja na kufurahia.
 
Huduma zilikuwa nzuri, yaani ukiwa ndani ya room ni shwari kama kuna AC vile ingawa kuna feni za kawaida ambapo mimi sikuwahi kuziwasha.

Ila ukitoka nje ya Lodge ni baridi kama lile la kule nje Auditorium.

Kulipa huwa nalipa moja kwa moja kabisa nikishapewa ufunguo

Ohooh, sawa sawa Mkuu. Vipi lakini ushauri wa Kunguru wa Manzese hujaufuata?
 
Nimekosa mbili tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nikasema utumishi wameshindwa kunifikilia mimi jobless kweliii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, hata wanngejiongeza angalau wakuchukulie mbili kwa aliyeongoza pepa kwa sababu haitamuathiri chochote.
 
Sema jana hawa utumishi kuchelewesha majibu wameleta sna kizaazaa .kuna mwana tulikuwa gesti moja alafu kwa jana alisema atalala sasa ile mida ya wanga jmaa kuachia majibu jamaa akajkkuta amekandwa na utumishi kinachofuata akataka kusepa muda uleule na asilipe pesa basi zitatokea vurugu mechi na baadae walielewana

Hahaha, huu msamiati “kukandwa” naona unazidi kushika kasi sana kwenye matumizi.
 
kama huna pesa safiri jioni fika dodoma usiku, lala stendi kuu ya mabasi pale ni salama na jengo la kulala ni zuri mtakutana wengi tu. Alafu asubuhi anza kufanya safari yako kwenda mahali pa usaili ulipopangiwa. kwa usafiri wowote huwezi tumia dakika zaidi ya 30 kutoka stendi kwenda mahali ulipopangiwa usaili.

Asante sana Mkuu kwa ushauri wako mzuri.
 
Back
Top Bottom