Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Mkuu, naona kwa hii wiki ambayo wengi walikuwa na matumaini lakini Utumishi wameamua waendelee kukaa kimya.
Hata hivyo hii mikeka ya usahili nayo imetupoza sana, watu wamekuwa busy kujinoa na PSRS wamepumua kutajwa tajwa kwa malalamiko.

Wiki kesho ni usahili yote, ikipita tutarajie mikeka mingine tena
 
Nadhani PSRS wana tatizo la nguvu kazi.

Zile zinazofanyika kwenye mavyuo zikiwa chini ya PSRS, Vyuo huwa zinajitosa kusimamia kushirikiana na watumishi kadhaa wa PSRS
 
Hata hivyo hii mikeka ya usahili nayo imetupoza sana, watu wamekuwa busy kujinoa na PSRS wamepumua kutajwa tajwa kwa malalamiko.

Wiki kesho ni usahili yote, ikipita tutarajie mikeka mingine tena

Hahaha, sawa Mkuu nimekupata.
 
Nadhani PSRS wana tatizo la nguvu kazi.

Zile zinazofanyika kwenye mavyuo zikiwa chini ya PSRS, Vyuo huwa zinajitosa kusimamia kushirikiana na watumishi kadhaa wa PSRS

Sawa Mkuu, hili unalosema linaukweli ndani yake. Pia kwa sababu hiyo naona kuna kitu inawabidi wafanye, japo sina takwimu lakini kwa hali za kifedha za Watanzania naamini kuna wengi wanatamani kuhudhuria Saili Dodoma lakini hali haziwaruhusu.
 
Asante sana Mkuu, naomba utupe maelezo kidogo ili iwe rahisi kujiunga. Kwa mfano, ni gari ya aina gani, ubora wake ni upi, inahitaji watu wangapi, na ni kwa namna gani itakuwa chaguo bora mtu akilinganisha na me

Asante sana Mkuu, naomba utupe maelezo kidogo ili iwe rahisi kujiunga. Kwa mfano, ni gari ya aina gani, ubora wake ni upi, inahitaji watu wangapi, na ni kwa namna gani itakuwa chaguo bora mtu akilinganisha na mengine?
Ingia kwenye iyo link me pia nilitumiwa ko sikuifuatolia koz sikuomba izo post
 
Unalipa yote Kwa pamoja?
 
Wadau nimepangiwa college of informatics CIVE ni gest zipo karibu na hapo bt za bei ya chini kuanzia buku 5
 
Wadau nimepangiwa college of informatics CIVE ni gest zipo karibu na hapo bt za bei ya chini kuanzia buku 5
Buku 5 hupati .. labda mjiorganise mpange chumba hata cha 30 mlipie hata watu wanne.. mjichange.. mkae mkimaliza mnaacha kodi mnasepa
 
Buku 5 hupati .. labda mjiorganise mpange chumba hata cha 30 mlipie hata watu wanne.. mjichange.. mkae mkimaliza mnaacha kodi mnasepa

Hili nalo ni wazo zuri Mkuu, sikuwa nimelifikiria mwanzo. Lakini kodi si wanataka ya miezi sita au wanaweza pokea hata ya mwezi mmoja?
 
Hili nalo ni wazo zuri Mkuu, sikuwa nimelifikiria mwanzo. Lakini kodi si wanataka ya miezi sita au wanaweza pokea hata ya mwezi mmoja?
Hahahaa.

Sasa mkuu unataka ulipe ya mwezi mzima, usahili si siku 1 kama hautatoboa written, na ukitoboa kwenda oral zinakuwa siku 3 za kulala huko.
 
Kila la kheri mnaosafiri leo. Mungu awatangulie mfike salama
 
Usihangaike nenda eneo
La makulu ni uelekeo wa udom, cheap lodges zimejaa huko
 
ukuje basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…