Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Mkuu, naona kwa hii wiki ambayo wengi walikuwa na matumaini lakini Utumishi wameamua waendelee kukaa kimya.
Hata hivyo hii mikeka ya usahili nayo imetupoza sana, watu wamekuwa busy kujinoa na PSRS wamepumua kutajwa tajwa kwa malalamiko.

Wiki kesho ni usahili yote, ikipita tutarajie mikeka mingine tena
 
Kitu kikubwa ambacho sijawahi kuacha kujiuliza ni ipi hasa sababu ya msingi kwa Utumishi kushindwa kufanya Saili zifanyike angalau kwa kila jiji.

Nakuwa na wasiwasi kwamba asilimia kubwa ya watoto wa walala hoi hawamudu hizi gharama za kutoka mikoa yao wanayoishi kufunga safari mpaka Dodoma ili kufanya bahati nasibu ya kupata kazi.
Nadhani PSRS wana tatizo la nguvu kazi.

Zile zinazofanyika kwenye mavyuo zikiwa chini ya PSRS, Vyuo huwa zinajitosa kusimamia kushirikiana na watumishi kadhaa wa PSRS
 
Hata hivyo hii mikeka ya usahili nayo imetupoza sana, watu wamekuwa busy kujinoa na PSRS wamepumua kutajwa tajwa kwa malalamiko.

Wiki kesho ni usahili yote, ikipita tutarajie mikeka mingine tena

Hahaha, sawa Mkuu nimekupata.
 
Nadhani PSRS wana tatizo la nguvu kazi.

Zile zinazofanyika kwenye mavyuo zikiwa chini ya PSRS, Vyuo huwa zinajitosa kusimamia kushirikiana na watumishi kadhaa wa PSRS

Sawa Mkuu, hili unalosema linaukweli ndani yake. Pia kwa sababu hiyo naona kuna kitu inawabidi wafanye, japo sina takwimu lakini kwa hali za kifedha za Watanzania naamini kuna wengi wanatamani kuhudhuria Saili Dodoma lakini hali haziwaruhusu.
 
Asante sana Mkuu, naomba utupe maelezo kidogo ili iwe rahisi kujiunga. Kwa mfano, ni gari ya aina gani, ubora wake ni upi, inahitaji watu wangapi, na ni kwa namna gani itakuwa chaguo bora mtu akilinganisha na me

Asante sana Mkuu, naomba utupe maelezo kidogo ili iwe rahisi kujiunga. Kwa mfano, ni gari ya aina gani, ubora wake ni upi, inahitaji watu wangapi, na ni kwa namna gani itakuwa chaguo bora mtu akilinganisha na mengine?
Ingia kwenye iyo link me pia nilitumiwa ko sikuifuatolia koz sikuomba izo post
 
Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 60 Go and return.
Tutaondoka jumapili tarehe 4/09/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 20 hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini maeneo ya bunge hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge tutakapofikia.
4. Usafiri baada ya matokeo kutoka ( approximately tarehe 6 au 7) kwa wale tutakaofaulu kwenda usaili wa mahojiano kutoka tulipofikia kwenda eneo la usaili wa oral(ofisi za bunge) kwenda na kurudi
5. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Kuanzia saa moja asubuhi (siku baada ya matokeo au second interview)
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 03/09/2022 SAA SITA MCHANA
Unalipa yote Kwa pamoja?
 
Wadau nimepangiwa college of informatics CIVE ni gest zipo karibu na hapo bt za bei ya chini kuanzia buku 5
 
Wadau nimepangiwa college of informatics CIVE ni gest zipo karibu na hapo bt za bei ya chini kuanzia buku 5
Buku 5 hupati .. labda mjiorganise mpange chumba hata cha 30 mlipie hata watu wanne.. mjichange.. mkae mkimaliza mnaacha kodi mnasepa
 
Buku 5 hupati .. labda mjiorganise mpange chumba hata cha 30 mlipie hata watu wanne.. mjichange.. mkae mkimaliza mnaacha kodi mnasepa

Hili nalo ni wazo zuri Mkuu, sikuwa nimelifikiria mwanzo. Lakini kodi si wanataka ya miezi sita au wanaweza pokea hata ya mwezi mmoja?
 
Hili nalo ni wazo zuri Mkuu, sikuwa nimelifikiria mwanzo. Lakini kodi si wanataka ya miezi sita au wanaweza pokea hata ya mwezi mmoja?
Hahahaa.

Sasa mkuu unataka ulipe ya mwezi mzima, usahili si siku 1 kama hautatoboa written, na ukitoboa kwenda oral zinakuwa siku 3 za kulala huko.
 
Kila la kheri mnaosafiri leo. Mungu awatangulie mfike salama
 
Usihangaike nenda eneo
Ipo sehemu gani?

Inapendeza majina ya Lodge/Guest zilizopo kwenye mitaa ya kuelekea UDOM kuanzia Jakaya Kikwete Convention Center kwenda mashariki.

Hii mitaani ipo karibu na UDOM na ghrama hata boda au bajaji haiwezi kuwa kubwa kivile.

Mnaozijua lodge za mitaa hiyo toeni muongozo kwa faida ya wasakatonge wote
La makulu ni uelekeo wa udom, cheap lodges zimejaa huko
 
Ipo sehemu gani?

Inapendeza majina ya Lodge/Guest zilizopo kwenye mitaa ya kuelekea UDOM kuanzia Jakaya Kikwete Convention Center kwenda mashariki.

Hii mitaani ipo karibu na UDOM na ghrama hata boda au bajaji haiwezi kuwa kubwa kivile.

Mnaozijua lodge za mitaa hiyo toeni muongozo kwa faida ya wasakatonge wote
ukuje basi
 
Back
Top Bottom