Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Na siku ya tarehe
Na mikusanyiko ya sherehe hiyo ya tamasha la wasanii pale Jamhuri inaendelea kwa malori yaliyofuata watu Mpwapwa, Kongwa, Bahi nk.

Sherehe ya siku moja ya wasanii na tabu ya maisha miaka mitano hilo halihitaji digrii kuelewa mtu anachagua nini!
Na siku ya kupiga kura itakuwa hivyo hivyo...watapelekwa kwa malori vituoni...ninyi endeleeni kubeza tu
 
Umati vipi[emoji41][emoji41]
Hahaha...hawapendi show off sikuhizi.
JamiiForums-941967127.jpg
 
Dah...
Nawaonea huruma tu. wanaonekana wakiwa..
Ushauri wa bure kwa wagombea wa upinzani kabla hawajapata presha ya kushindwa waseme wameibiwa wapaki magari yao wapande daladala huko ndio watawakuta wapiga kura wanaomjua rais anayewafaa. Siku hizi wananchi wakikutana huko hata kama hawajuani utashangaa wanaelezana mazuri ya John Pombe Magufuli
 
Acha kushuhudia uongo wee kenge ...lini ukawa mwana Chadema? Uongo unakusaidia nn
Leta picha basi ili kumkata ngebe mleta mada!

Au hoja mlizokuwa mnakomaa nazo kwamba Magu hajui kingereza hazijawasaidia kukusanya umati wa watu hapo Kawe?
 
Picha iko wapi mkuu? Sasa utajitofautishaje na wapiga majungu wewe
 
Ungekuwa ni mkubwa kwa ninavyowajua wana CHADEMA waliopo hapa JamiiForums ungeshaona 'wametupia' Picha ila 'Nyomi' ni kama tu halipo.
Kumbe na wewe ni mpumbavu uliyepooza.
Mmewekewa link lakini bado mnaendeleza ujinga.
 
Mnaposema ACHIENI MIKUTANO MUONE, wakati kipindi hicho badala ya kujenga sera mko bize kusubiri jpm kakosea wapi mdandie! Wananchi wa sasa sio wajinga, wana sense of organs zote na akili juu kutafakari...
Naomba ukae kimya, nisije nikakutukana nikapigwa ban.
 
Back
Top Bottom