Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Ili kuweza kujenga hoja ni lazima ushabiki na misimamo ya ajabu tuiweke pembeni.

Bado sijajua ni kwanini awamu hii muitikio umekuwa ni hafifu mno aiseee.

Tukae chini na kujiuliza ni wapi shida ilipo.
 
Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa

CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.

Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?

CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.

Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Tukisikilizia home ina athari zozote kwa campaign na uchaguzi kwa ujumla?
 
Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
Mungu wangu, watu hawa ndio wampeleke Lissu ikulu??, hata jua litokee wapi, halfu hapo wanadai DAR eti ndio ngome yao
 
Daaaah nashindwa kuelewa what next but unaeza kuta watu wameuchuna tu hawataki kujionyesha hadharan kuwa wao Ni wapimzan alafu kwenye sanduku la kura wakafanya maajabu tuwe wavumilivu October 28 sio mbali [emoji3577][emoji3577]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....ndoto za mchana.
 
Ni kweli na nilitegemea baada ya maagizo ya jana, basi leo tungeanza kuandamana kwa wingi na ndio kampeni zianze
Ili kuweza kujenga hoja ni lazima ushabiki na misimamo ya ajabu tuiweke pembeni.

Bado sijajua ni kwanini awamu hii muitikio umekuwa ni hafifu mno aiseee.

Tukae chini na kujiuliza ni wapi shida ilipo.
 
Nadhani kitendo cha jana kusema kuwa leo kutakuwa na maandamano ndio kimechangia watu kuwa wachache hivi
Missing coordination , Sera hakuna , wadosi wa kawe hawanaga porojo za kutukanana na kutishiwa kuandamana
 
Back
Top Bottom