Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa

CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.

Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?

CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.

Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Kiongozi ungekaa tu nyumbani, kampeni za CDM sio tamasha la wanamziki. Anae taka sera ataamua kwenda na anae taka tamasha la mziki/kuwaona wasanii bila kiingilio nae atakwenda. Mwisho wa siku tukutane kwenye sanduku la kura.
 
TUNATAKA MKUTANO WA KISIASA SIYO TAMASHA LA WANAMUZIKI
Hata hao Wana muziki ama wasanii wasiotuambia ukweli ama kwa maana ya ajira au kipato,au ahadi za matumaini kwao na mengineyo hatuta yaona ,kuyapenda na hata kushawishika tuu ache ukweli,kuwa usawa ,ukweli na haki pamoja na mshikamano Kama taifa ndio Mambo ya msingi.Mengine yote ni porojo tuu.
 
Ikiwa hivyo itakuwa vizuri zaidi. Ila location ya hapa kawe haikuwa nzuri, mkutano huu ulipaswa kuwa ubungo au kimara
Daaaah nashindwa kuelewa what next but unaeza kuta watu wameuchuna tu hawataki kujionyesha hadharan kuwa wao Ni wapimzan alafu kwenye sanduku la kura wakafanya maajabu tuwe wavumilivu October 28 sio mbali [emoji3577][emoji3577]
 
Bora nyie.sisi mpaka muda huu hapa dodoma posho zetu hatujalipwa na polepole hapokei simu.
IMG_20200829_131953.jpg
 
Ndo maana hata kwenye social media sioni hata post moja ya chadema youtube leo?
 
Mmawia yuko bize dodoma 'anapiga' picha malori na mafuso! Erythrocyte na Salary Slip na G Sam wako bize kwenye keyboard kuhamasisha watu waende ila wao hawaendi, Sky Eclat yuko bize jf kufungua uzi za ku-portray negative image ya magufuli, unategemea nini? Hata wafuasi wa chadema nao wamekata tamaa! Afadhali Yericko Nyerere kaamua achune kitambo tu.
 
Nadhani umeelwa sasa kinachoendelea. Kuna shida kubwa ndani ya chama na mbaya zaidi watu leo hakuna kabisa
Ndo maana hata kwenye sovial media sioni hata post moja ya chadema youtube leo?
 
ukipiga picha wanakupiga makofi Wana ma bouncer wanasema Ni waandishi tu waliowaalika ndio wapige

Wakiona unanyanyua simu yako unakunjwa shati au gauni

Wanaminya Uhuru wa habari wa yeyote kuchukua picha
Wewe sio mzima
 
Hapa kiongozi mm sio mfuasi wa kupkst tu jf, mm nipk zaidi field na ndio maana unaona mikutano yote nahudhuria na nasikiliza vizuri sera mbadala.
Ila hili la leo sijapenda, hakuna watu kabisa
Wew ni muwanga unamwinds lissu
 
Back
Top Bottom