Yaani nia aibu kubwa hapa Kawe... tuliwaambia jana kama mmeshindwa Mbagala mtaweza Kawe. Hapa leo Kawe ni aibu kweli kweli hakuna watu kabisa.Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.