Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Lile ni tamasha la muziki bibi weweUpdate watoe wapi wako wanaangalia TV uzinduzi wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile ni tamasha la muziki bibi weweUpdate watoe wapi wako wanaangalia TV uzinduzi wa CCM
Kuvutia kivipi? Umesahau ya kuwa unaweza kumpeleka punda mtoni ila kamwe huwezi kumlazimisha kunywa maji? Mimi mwenyewe nipo Dodoma kupata burdani kutoka kwa wasanii 200 ila kura yangu ni kwa LissuKumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa
CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.
Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?
CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.
Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Nyomi la kawe...[emoji1787][emoji1787]Mimi nasubiri moto wa Tanganyika Packers tu. Hayo ya Dodoma utayajua kivyako.
Uwepo wa ajira za kutosha ,una maana Pana na sii Kama tunavyo fikiri ama tunavyo aminishwa.View attachment 1551695
Hifi hiso ni mbusi sinapelekwa mnadani eew...!!?
Hapo siyo Kawe acha kudanganya wewe!! Safari hii mtanyooka tu!!na hapa ni wapi ?View attachment 1551685
Wananchi wameitupilia chadema mbali..Nyomi la kawe...[emoji1787][emoji1787]View attachment 1551974
We ni nani hasa
Nipo hapa, ni aibu sana leo aisee! Ila location ya mkutano imekuwa mbaya sana. Wamebugi kuchagua hapa kaweView attachment 1551985
nyomi la kawe hili hapa
Mmojawapo wa misukule ya kijaniWe ni nani hasa
Mmojawapo wa misukule ya kijani
Wr kibwengu wa lumumba jana si umelalamika hutaenda tena kwakua unalazimishwa michango