Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Yaani hapa ndo mnaponishinda tabia na upeo... Idadi ya watu kwenye mikutano ya kisiasa haina tija kama wasimamizi wa uchaguzi wakoupande wa watawala...!
Labda mnambie waingie barabarani kwa idadi hiyo hiyo kudai kurejeshwa kwa wagombea na kushinikiza kuondolewa kwa wasimamizi waliochini ya watawala...!
 
Taarifa nilizopata kutoka ndani ya CDM zinasema Baada ya Jana CDM kukosa watu na Leo CCM kuujaza uwanja wa JAMHURI, sasa CDM mkutano wao wa leo wamepanga yafuatayo.

-Kuitukana CCM na Wagombea wake MUDA wote bila kunadi sera zao.
-Kuvitukana vyombo vya Habari kwa mwamvuri wa TBC kuwa wapo double standard.
-Kuishambulia tume ya uchaguzi kuwa imewaengua wagombea wao bila Makosa .
-Pia watazungumzia kesi walizokumbana nazo na kueleza juu ya muujiza unaotembea.

MUDA huu wapo kwa............wanasikiliza hotuba ya CCM huko Dodoma.

Jamaa wameshikwa vibaya. Hawa kuamini Kama CCM itapata idadi ya watu wengi kiasi hicho Dodoma. Hii ahadi ya kununua ndege tano mwaka 2021/2025 imeleta mjadala mzito huko ufipa.

Nitaendelea..........
Hilo ni boti lizamalo, halina dawa.
 
Taarifa nilizopata kutoka ndani ya CDM zinasema Baada ya Jana CDM kukosa watu na Leo CCM kuujaza uwanja wa JAMHURI, sasa CDM mkutano wao wa leo wamepanga yafuatayo.

-Kuitukana CCM na Wagombea wake MUDA wote bila kunadi sera zao.
-Kuvitukana vyombo vya Habari kwa mwamvuri wa TBC kuwa wapo double standard.
-Kuishambulia tume ya uchaguzi kuwa imewaengua wagombea wao bila Makosa .
-Pia watazungumzia kesi walizokumbana nazo na kueleza juu ya muujiza unaotembea.

MUDA huu wapo wanasikiliza hotuba ya CCM huko Dodoma.

Jamaa wameshikwa vibaya. Hawa kuamini Kama CCM itapata idadi ya watu wengi kiasi hicho Dodoma. Hii ahadi ya kununua ndege tano mwaka 2021/2025 imeleta mjadala mzito huko ufipa.

Nitaendelea
1598701239913.png

Walitoka nyumbani kwa nauli zao na mchango kwa kampeni ya Lissu wametoa.
 
Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa

CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.

Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?

CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.

Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Matangazo ni lazima ulipe Manispaa, juzi walienda wakakuta mizengwe hadi ikashindikana... Sasa unataka wafanye nini
 
Kumtukana Magufuli ni kuwatukana Watanzania wote

Achilia mbali madhambi yake kama binadamu wengine, Lakini huyu ndiye tuliyetakiwa kumchagua Baada tu ya Nyerere

Hivi Kwa mf Chadema wanalo Jambo gani jipya ambalo litazidi Yale Magufuli anayasimiamia na kuyatekeleza?
 
Taarifa nilizopata kutoka ndani ya CDM zinasema Baada ya Jana CDM kukosa watu na Leo CCM kuujaza uwanja wa JAMHURI, sasa CDM mkutano wao wa leo wamepanga yafuatayo.

-Kuitukana CCM na Wagombea wake MUDA wote bila kunadi sera zao.
-Kuvitukana vyombo vya Habari kwa mwamvuri wa TBC kuwa wapo double standard.
-Kuishambulia tume ya uchaguzi kuwa imewaengua wagombea wao bila Makosa .
-Pia watazungumzia kesi walizokumbana nazo na kueleza juu ya muujiza unaotembea.

MUDA huu wapo wanasikiliza hotuba ya CCM huko Dodoma.

Jamaa wameshikwa vibaya. Hawa kuamini Kama CCM itapata idadi ya watu wengi kiasi hicho Dodoma. Hii ahadi ya kununua ndege tano mwaka 2021/2025 imeleta mjadala mzito huko ufipa.

Nitaendelea
Ccm oyeeee
20200826_105250.jpg
EgFlsqnWoAEqK0P.jpg
 
Mbona umedoda vile?
Wa Dodoma umedoda unaota ulikuwa Live TV zote utamdanganya Nini toka asubuhi TV zote zilikuwa Live huhitaji kumsimulia mtu

Huo uzinduzi wa kawe vichochoroni ambao hauko live ndio umedoda uzinduzi utafikiri ushirikina
 
Back
Top Bottom