Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kizuri chajiuza na kibaya(ccm) chajitangaza.Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa
CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.
Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?
CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.
Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Ukitaka sera za mabadilko ya kweli chagua Lisu, ukitaka porojo na utapeli chagua Magufualianz
Umezaliwa mwaka gani ?