Kiongozi ungekaa tu nyumbani, kampeni za CDM sio tamasha la wanamziki. Anae taka sera ataamua kwenda na anae taka tamasha la mziki/kuwaona wasanii bila kiingilio nae atakwenda. Mwisho wa siku tukutane kwenye sanduku la kura.Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa
CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.
Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?
CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.
Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.