Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Acha kushuhudia uongo wee kenge ...lini ukawa mwana Chadema? Uongo unakusaidia nn
Sasa nyie mnaumia wapi adui yako akilala njaa?Ongeza na hawa hapa wa Kawe leo. View attachment 1552001
Na siku ya kupiga kura itakuwa hivyo hivyo...watapelekwa kwa malori vituoni...ninyi endeleeni kubeza tuNa mikusanyiko ya sherehe hiyo ya tamasha la wasanii pale Jamhuri inaendelea kwa malori yaliyofuata watu Mpwapwa, Kongwa, Bahi nk.
Sherehe ya siku moja ya wasanii na tabu ya maisha miaka mitano hilo halihitaji digrii kuelewa mtu anachagua nini!
Hahaha...hawapendi show off sikuhizi.Umati vipi[emoji41][emoji41]
Mdee kamdanganya Tundu LisuMmojawapo wa misukule ya kijani
Umati vipi😎😎
Ushauri wa bure kwa wagombea wa upinzani kabla hawajapata presha ya kushindwa waseme wameibiwa wapaki magari yao wapande daladala huko ndio watawakuta wapiga kura wanaomjua rais anayewafaa. Siku hizi wananchi wakikutana huko hata kama hawajuani utashangaa wanaelezana mazuri ya John Pombe MagufuliDah...
Nawaonea huruma tu. wanaonekana wakiwa..
Kama hivi enh?Ungeona maroli ndio ungeuliza watu
Nnyumbu wa ufipa mbona leo hamjavuka mto wa mamba?Misukule ya kijani hii
Mbona hata dodoma hakuna MaloriUngeona maroli ndio ungeuliza watu
Leta picha basi ili kumkata ngebe mleta mada!Acha kushuhudia uongo wee kenge ...lini ukawa mwana Chadema? Uongo unakusaidia nn
Aibu kubwa!! Eti Dar itasimama!!
Watakwambia hiyo ni picha ya asubuhiiii.
Haaaaaaa haaaaaaa,
Yaaaniiiiiii wanatia hurumaaaaa wajaneniiii
Wapo kwenye jaramba wanakuja kwa maandamano!Ungekuwa ni mkubwa kwa ninavyowajua wana CHADEMA waliopo hapa JamiiForums ungeshaona 'wametupia' Picha ila 'Nyomi' ni kama tu halipo.
Kumbe na wewe ni mpumbavu uliyepooza.Ungekuwa ni mkubwa kwa ninavyowajua wana CHADEMA waliopo hapa JamiiForums ungeshaona 'wametupia' Picha ila 'Nyomi' ni kama tu halipo.
Inauma, itabidi muzoee.Sasa nyie mnaumia wapi adui yako akilala njaa?
Naomba ukae kimya, nisije nikakutukana nikapigwa ban.Mnaposema ACHIENI MIKUTANO MUONE, wakati kipindi hicho badala ya kujenga sera mko bize kusubiri jpm kakosea wapi mdandie! Wananchi wa sasa sio wajinga, wana sense of organs zote na akili juu kutafakari...