Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Hiyo mpesa si kampuni ya vodacom ambayo siku kadhaa tuliona viongozi wake wa chadema wakikata laini zake kwa kususia, imekuwaje tena?? Au zilikuwa hasira za mkizi tu.?
Maamuzi yao ya kitoto ndiyo yanatufanya hata tuone kuwapa nchi ni kuiweka rehani nchi yetu.
 

Watanzania wanaojitambua hawana muda wa Kupoteza kwenda hapo, wakati wanajua tu karibia 75% ya 'Madai' yao Rais Magufuli ameshayatatua.
 
Aisee leteni picha, maana jana walitia aibu, gari imeishapoteza muelekeo hata kabla haijashika main road
 
Wewe ndiye tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…