Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Kawe imetisha hii nyomi sio ya kitoto
 
nadhani watu wamechoka tu na siasa za maji taka. siasa ambazo zinawajaza matumbo tu wanasiasa yanakua makubwa tu na kuongeza ulafi zaidi, watu wameamua kufanya mambo yao na kuangalia familia zao zaidi na mishe zao wapate pesa na maisha yaende vyema
Huu ni kweli..Makada wa CCM na CDM wameachiwa/kususiwa uwanja wa kupambana wananchi wengi wanawachora tu.
 
Huyo nayechukua video ni mvuvu sana kwa nini anang'ang'ania jukwani tu badala ya kuzungusha camera ili tuone nyomi!!
 
Lumumba naona mmeuteka huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…