Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Kawe imetisha hii nyomi sio ya kitoto
 
Apo ndio watu walikuwa wanaanza kuingia uwanjani
Hata hii jana mlisema ni mchana, picha ilikuwa live jioni TBC, angalia vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano.
IMG_20200829_143329.jpg
 
nadhani watu wamechoka tu na siasa za maji taka. siasa ambazo zinawajaza matumbo tu wanasiasa yanakua makubwa tu na kuongeza ulafi zaidi, watu wameamua kufanya mambo yao na kuangalia familia zao zaidi na mishe zao wapate pesa na maisha yaende vyema
Huu ni kweli..Makada wa CCM na CDM wameachiwa/kususiwa uwanja wa kupambana wananchi wengi wanawachora tu.
 
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.


=====


Huyo nayechukua video ni mvuvu sana kwa nini anang'ang'ania jukwani tu badala ya kuzungusha camera ili tuone nyomi!!
 
Back
Top Bottom