Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona sasa hivi Lumumba mshagundua mchezo wa kuwahi saa 3 asubuhi kupiga picha na kuzitumia saa 10 jioni
Wachana na mataahira ya Lumumba mkuu! Ipo siku CCM watatoka madarakani haki ya nani hata kama nitakuwa nimezeeka lazima nipigie kofi mwana-ccm mmoja haki ya nani!na hapa ni wapi ?View attachment 1551685
Hata hii jana mlisema ni mchana, picha ilikuwa live jioni TBC, angalia vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano.Apo ndio watu walikuwa wanaanza kuingia uwanjani
Huu ni kweli..Makada wa CCM na CDM wameachiwa/kususiwa uwanja wa kupambana wananchi wengi wanawachora tu.nadhani watu wamechoka tu na siasa za maji taka. siasa ambazo zinawajaza matumbo tu wanasiasa yanakua makubwa tu na kuongeza ulafi zaidi, watu wameamua kufanya mambo yao na kuangalia familia zao zaidi na mishe zao wapate pesa na maisha yaende vyema
Na hiyo online live coverage imepigwa saa ngapi?Naona sasa hivi Lumumba mshagundua mchezo wa kuwahi saa 3 asubuhi kupiga picha na kuzitumia saa 10 jioni
Labda umeitoa TBCNa hiyo online live coverage imepigwa saa ngapi?
Maandamano au hii ni ya hapa viwanjani?
Weka za saa 11 jioni mkuuNaona sasa hivi Lumumba mshagundua mchezo wa kuwahi saa 3 asubuhi kupiga picha na kuzitumia saa 10 jioni
Tbc si mmewapiga ban mikutano yenu? Hamna kutafuta mchawi hapa..Labda umeitoa TBC
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.
=====
Mlikua na maandamano leo?Maandamano au hii ni ya hapa viwanjani?
Anaficha aibu akipiga nyuma Ni aibuHuyo nayechukua video ni mvuvu sana kwa nini anang'ang'ania jukwani tu badala ya kuzungusha camera ili tuone nyomi!!
Ngoja tuwakopesheBora nyie.sisi mpaka muda huu hapa dodoma posho zetu hatujalipwa na polepole hapokei simu.View attachment 1551994
Zile za wabunge Tsh 9 billion zilienda wapi?Chama ni mali ya watu , kitawezeshwa na watu wenyewe