Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Bora nyie.sisi mpaka muda huu hapa dodoma posho zetu hatujalipwa na polepole hapokei simu.View attachment 1551994

Acha kutuwekea picha za ile CCM ya kuchekacheka ambayo bado ilikuwa ikiwapiga upinzani nje ndani. Tuwekee picha za leo Dodoma za CCM ya hapa kazi.

Kwa nyomi ya CCM Dodoma leo Robertison wa Lissu atakuwa kabadilisha daipa mara tatu tatu
 
Pamoja na kujaza wasanii waimbe kuvutia watu aawapi. CCM imeishiwa pumzi
 
Acha kutuwekea picha za ile CCM ya kuchekacheka ambayo bado ilikuwa ikiwapiga upinzani nje ndani. Tuwekee picha za leo Dodoma za CCM ya hapa kazi.

Kwa nyomi ya CCM Dodoma leo Robertison wa Lissu atakuwa kabadilisha daipa mara tatu tatu
mara tatu watu wameingia kuanzia saa 3 alikuwa ana change daipa kila baada ya saa😂😂
 
NiYeye2020 hatutaki UDIKTETA

Matapeli wa kisiasa kupitia mitandao ya simu. Ukienda kwenye mkutano wa kampeni ukasikia mgombea Urais anakuambia toa simu yako na kuanza kukuelekeza jinsi ya kutuma miamala ya fedha hakikisha unazima simu yako mara moja na ondoka katika eneo la tukio hilo la mkutano haraka iwezekanavo. Wako wenzako miaka ya nyuma wameshaumizwa sana kwa aina hii ya utapeli, usidanganyike-hatudanganyiki.
 
Wacha ujinga wewe ZWAZWA. Tangu hiyo jana umeshasikia wangapi walioenda polisi kushtaki wametapeliwa MPUUZI wewe?

Matapeli wa kisiasa kupitia mitandao ya simu. Ukienda kwenye mkutano wa kampeni ukasikia mgombea Urais anakuambia toa simu yako na kuanza kukuelekeza jinsi ya kutuma miamala ya fedha hakikisha unazima simu yako mara moja na ondoka katika enro ka tukio hilo la mkutano haraka iwezekanavo.
 
Kwa hiyo toka Goba Hadi Kawe Ni mwendo wa masaa sita?
Mkuu wewe ni mkazi wa Dar? Tuanzie hapo kwanza? Umepita pale mbezi leo?yule police anayeongoza magari leo umeona ana v ngapi?
 
Ila sikuwahi kufahamu uelewa wa Lisu nje ya sheria ni mtupu hivi
 
Hahahahahha Lissu anaihitaji Mfumo mpya Wa KUTAWALA NCHI HII dah Sisi Tunahitaji KIONGOZI NA WALA SIO MTAWALA
 
Matapeli wa kisiasa kupitia mitandao ya simu. Ukienda kwenye mkutano wa kampeni ukasikia mgombea Urais anakuambia toa simu yako na kuanza kukuelekeza jinsi ya kutuma miamala ya fedha hakikisha unazima simu yako mara moja na ondoka katika eneo la tukio hilo la mkutano haraka iwezekanavo. Wako wenzako miaka ya nyuma wameshaumizwa sana kwa aina hii ya utapeli, usidanganyike-hatudanganyiki.
Mkuu wewe ni ke au me? Yaani kuelekezwa tu namna ya kuchangia kwa hiari yako wewe mwenyewe wewe unazima simu na kukimbia? Inaonekana hata kule kanisani wewe ukiletea kikapu Cha sadaka wewe unatimua mbio
 
Back
Top Bottom