Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

huyu jamaa uchaguzi ujao anaweza kuchomoa bandama la mtu,duh,,haaa,,!
 
NDIO MAANA HATA KUMPIGA MAKOFI MZEE WARIOBA ALIFITI
 
Arusha tumepata jembe. Kwa muda mfupi amewezesha mengi hapa mkoani. Watalii wameongezeka maradufu. Pia, miundombinu imeimarika.

...... Kichaa mwingine huyu, mtu hata ajaingia oficin anapongezwa kwa maendeleo
 
Arusha tumepata jembe. Kwa muda mfupi amewezesha mengi hapa mkoani. Watalii wameongezeka maradufu. Pia, miundombinu imeimarika.
Nawapongeza zaidi watu wa Arusha, kwa kua tayari kufanya kazi kwa kwa bidii sana kwa kushirikiana na mkuu wa mkoa mpya ndugu Makonda 🐒
 
Arusha tumepata jembe. Kwa muda mfupi amewezesha mengi hapa mkoani. Watalii wameongezeka maradufu. Pia, miundombinu imeimarika.
Aloo,huyo si ndo kwanza kafika anajitambulisha?
Umevuta bangi mbichi nini
 
Arusha tumepata jembe. Kwa muda mfupi amewezesha mengi hapa mkoani. Watalii wameongezeka maradufu. Pia, miundombinu imeimarika.
Kaka uache uchawa, mtu ndio kaingia ofisini jana watalii wameongezeka wapi? Miundombinu imeimarika vip?

kavikuta vipo na ataviacha
 
Arusha tumepata jembe. Kwa muda mfupi amewezesha mengi hapa mkoani. Watalii wameongezeka maradufu. Pia, miundombinu imeimarika.
Amekuwa Aladin wa Alfu lela u lela na taa yake ya ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…