Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Mimi kuna katoto nakapenda sana huwa mshua wake anakapost huyo ndio Valentine wangu aisee.!! 🥰

Ningemtaja ila kuna mijitu mtasema nampenda baba mtu humu ndani hamna dogo…!! 😹😹😹
We mtaje tuu,
Tutakayosema hayakuhusu.
 
Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.

Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.

Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Tarehe ngapi hiyo, naomba unikumbushe madam.
 
Back
Top Bottom