Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Huyo ni lazima atakuwa wa deshdesh😂😂😂Mimi kuna katoto nakapenda sana huwa mshua wake anakapost huyo ndio Valentine wangu aisee.!! 🥰
Ningemtaja ila kuna mijitu mtasema nampenda baba mtu humu ndani hamna dogo…!! 😹😹😹