Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiza kinene na watu wamejawa na roho mbaya...the one you love has an x, even you got an x.
Everyone got an x, in the end we are all x mens and women 😂😂
View attachment 3232583
Hahahaha Hamisi mwaga Michele.Ningemtaja sema hapendi shobo
UnanifurahishaUsijali mkuu😂
Ajisikie vizuri kwani mgonjwa? 😹UKo vzr umeiweka kikubwa zaidi.😀
Sema ungemtaja angrjisikia vzr.
Kiaje baeUnanifurahisha
Kumbe jirani una koloni lako na husemi? 😹Mie nampenda huyu hapa kijana kampelewele ,. Japo yeye hanipendi tena😔
Kwani we humjui😁Hahahaha Hamisi mwaga Michele.
Fallah we 😹Mwisho leo jamani kunyoa vuzi
Bora lingekuwa koloni,. Huyu ndege namfukuzia siku Mingi wajanja washanizidi maarifa😔Kumbe jirani una koloni lako na husemi? 😹
Shem darling unafichwa sana now days!!
Sijui niseme au basi 😹Seriously question, humu kweli kabisa watu hua wanakutana na kugongana kabisa kabisa au ni flirts tu za kwenye meseji? 🤔🙁
Kumbe ni pombe? Kuna mtu alikua ananiita hili jina, pumbavu zake.[emoji3059]View attachment 3232554
Weeeh 😹😹😹Bora lingekuwa koloni,. Huyu ndege namfukuzia siku Mingi wajanja washanizidi maarifa😔
Kuna Aljazeera shazi wapo Active waione hiyo jina waione Mama.e.Kwani we humjui😁