Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Hayanaga muongozo...

Unayempenda kampenda mwingine...
Na huyo mwingine nae ana mwingine na huyo mwingine kapendwa na mwingine...

Cc: Mahondaw
the one you love has an x, even you got an x.

Everyone got an x, in the end we are all x mens and women 😂😂
FB_IMG_17392135925312504.jpg
 
Nawatakia valentine njema Wana jamii forum wote wake kwa waume pamoja na familia zenu..... Bila kusahau wakaka na wadada,, kataa ndoa wote pamoja na ma jobless wote happy valentine kwenu nyote.
Asante sana
 
Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.

Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.

Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Hii sherehe IFUTWE haina maana kwa kizazi cha leo.
 
Mi nakutakia wewe shoga kidawa...Nakupenda mwaaaaaahhh
 
Back
Top Bottom