Mambo yasiwe mengiSikia kwanza, una mtu wa kutoka nae valentine?
Kula maisha mkuuMdada ambaye yupo Single anitafute..Pesa ipo wewe mwenyewe unajionea hapo navyokula maisha.
Naomba nilipwe na mimi tafadhali.Ningekuwa korea ningekuwa bilionea sasa hivi
View attachment 3232571
Amesema kama Kuna mtu wamfeel humu....upo single lakin Kuna mtu unamfeel
Nina mchumba wangu humu, ananifanya nishindwe kulala kabisa. Sijui unanisaidiaje? πHujakoma tu nimesikia jambo lako kuwa ulifumaniwa na babe mama nikweli
Walahi babe wangu piga kelele ?? My sweety my honey, babeNamtakia Valentine day babe wangu SweetyCandy. πβ€οΈ
Ujumbe: mimi nampenda yeye tu hapa duniani.
Kumbe watu mnamaanisha?Sitaki iwe hivyo jamani,. Nisaidie kumtag mwambie Nampenda sanaπ.
usingizi sipati kwasababu yake, Na hata nikilala ananijia ndotoni,. Nikijikata damu zinatoka ni jina lake kampelewele π
Asante ila umekuwa too general be specific na mmoja.Nawatakia valentine njema Wana jamii forum wote wake kwa waume pamoja na familia zenu..... Bila kusahau wakaka na wadada,, kataa ndoa wote pamoja na ma jobless wote happy valentine kwenu nyote.
Hakuna mtu mwenye mtu ni wewe tu umeingiaje kwakeUtajuaje kama hana mtu
Mtumie dedication nzuriNina mchumba wangu humu, ananifanya nishindwe kulala kabisa. Sijui unanisaidiaje? π
Jaribu uone au njoo gheto uzioneFresh tu! Kwa sababu hela zenyewe huna.
Hahahπππ,.