Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Mbavu zangu 🤣🤣 napenda ulivyo machachari je hata live upo hivyo hivyo au una aibu?
Naongea sana mpenz,aibu mwanzoni mwanzoni...tukizoeana ...Cheka yangu mpaka nikufinye ubavu kimtindo..
Mama yangu akishaona nimeanza kucheka huku narusha miguu kwa furaha huwa anakimbia🤣🤣🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…