Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
π€£π€£ Hiyo nipo mafunzoni....Tulia kwanzaπ₯΄Hadi kufinyana imoππ itakua na kuifinyia kwa ndani unaweza wewe π
the one you love has an x, even you got an x.Hayanaga muongozo...
Unayempenda kampenda mwingine...
Na huyo mwingine nae ana mwingine na huyo mwingine kapendwa na mwingine...
Cc: Mahondaw
Nope avatar za jf ni uongo π, nimependa unavopenda hela au basi kijana masikini mfikirieπJeeez
πΉWw umependa avatar
Mapenzi hayaa aisee mbona nayapendaaChagua mwenyewe kiwanja. Jukumu langu mimi ni kuandaa tu hela ya kutumia kwa siku hiyo.
Asante sanaNawatakia valentine njema Wana jamii forum wote wake kwa waume pamoja na familia zenu..... Bila kusahau wakaka na wadada,, kataa ndoa wote pamoja na ma jobless wote happy valentine kwenu nyote.
πΉπΉπΉ Sio umeniita kijanja nikutaje?
Happy Valentine tooAsante sana
Ahaha, mimi namkubali yule mwenzio.πΉπΉπΉ Sio umeniita kijanja nikutaje?
Hii sherehe IFUTWE haina maana kwa kizazi cha leo.Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Nnayempenda anajijua sina haja ya kupiga PA πΉπΉAhaha, mimi namkubali yule mwenzio.
Wew mtaje unaempenda.
Acha wivu tafute muke hukuHii sherehe IFUTWE haina maana kwa kizazi cha leo.
πππ Sina tatizoNope avatar za jf ni uongo π, nimependa unavopenda hela au basi kijana masikini mfikirie
Usijali mkuuππππ Sina tatizo
Njoo nikusaidie kutumia izo hela
UKo vzr umeiweka kikubwa zaidi.πNnayempenda anajijua sina haja ya kupiga PA πΉπΉ