Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.

Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.

Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Inatakiwa kuwa makini.Unaweza kumtakia Valentine njema marehemu badala ya kumuombea dua njema aende mbinguni.
 
Wanaume humu wapo zaidi ya laki 5 wanawake hawazidi 50 ila kila mtu ana valentine wake , dah ngoja tule vitu tu asee
1738096975992.jpg
 
Back
Top Bottom