Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Inatakiwa kuwa makini.Unaweza kumtakia Valentine njema marehemu badala ya kumuombea dua njema aende mbinguni.Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.