Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
🤣Unamtaja member ambaye anataman kutajwa na member mwengine
Hii itakuwa sio shobo ila ni kiherehere😅
Ni purukushani mtindo mmoja 😅🤣
Mwajuma anamzimikia John
Wakati John ye anamzimikia Esther..huku esther anamuwaza George
George nae kafa kaoza Kwa kidawa
Na ndio Hali Halisi ya mahusiano ya vijana mtaani.ila mkikutana wawili tu mnapendana Kila kitu kinaenda mwake.Ni purukushani mtindo mmoja 😅
Tatizo lipo hapo kwenye kukutana mnaopendanaNa ndio Hali Halisi ya mahusiano ya vijana mtaani.ila mkikutana wawili tu mnapendana Kila kitu kinaenda mwake.
Please be my valentine.Yatima wenzangu chukue popcorn tusome zetu comments
No hivyo yaniTatizo lipo hapo kwenye kukutana mnaopendana
Yaani ni mwendo wa kudate na mtu usiyempenda ye anakupenda au unampenda ye hakupendi
Ndiyo ile unaona taarifa ya anaolewa au kuoa kwenye status wakati we una malengo naye yeye shwaaa 😆No hivyo yani
Kuna mwingine unakuta unajicommot kupenda kweli unaweka kambi hapa nimefika kumbe yeye kaweka makazo Kwa muda,anawaza pengine.akifunguliwa mlango aende zake😊
Acha tu..Ndiyo ile unaona taarifa ya anaolewa au kuoa kwenye status wakati we una malengo naye yeye shwaaa 😆
Daah yaani 😅Acha tu..
Mi kuachwa tu naumia hivi.je yanayowakuta ya kuoa/kuolewa sipati picha maumivu yake
Halafu ukute ushamtambulisha Kwa watu wako WA karibu na mbali
Kuna watu wanajua kufedhehesha wenzao😄
Kuna muda sishangai kwanini wanauana..usicheze na hisia za mtu.kama huna Nia unafunguka tu basi.Daah yaani 😅
Halaf ukimuuliza anasema familia ilimlazimisha na hakukukwambia kwasababu aliogopa kukuumiza
Kwamba hapo alivyooa au kuolewa bila kukwambia hajakuumiza wala 😂
Waliotangulia mbele zakei hao ndionwanafaa kwa sasa waliobakia mmhFebruari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Pdiddy anagawa mafuta na maji BureMM NIMEAMUA KUKARIBISHA MWANAMKE AMA MWANAUME ANAETAKA NDOA TUFANYE MAOMBI NAE NYUMBANI KWANGU NIKIWA NA MAMA WATOTO PAST SHERRY VALENTINE HII KAMA UKO TAYARI NJOO INBOX HAKUNA KUTOA PESA MAFUTA NA MAJI NTAGAWA BURE
wahi chap chap, tuko nje ya mudaa
Ndiyo tuchague na location ya
Ndiyo tuchague na location ya kwend
My God!are you serious?Please be my valentine.
Nipe bajeti yako mamaSawa niko tayari kitalembwa
Tupo serious ndiyo ila baki na Blessed Keinerugaba acha me nijitoeMy God!are you serious?