Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Kigamboni pa kazi gan? Njoo huku rukwa wilaya ya kalambo vijijini , nimejenga mansion langu lina kila kitu 😊
😂🤣Basi mdogo wangu ushaanza nongwa, ninapotia mguu nawe umo.. mdogo wangu mie sipendi competition, ndio maana hao wengine nimewaachia nyinyi, mie nataka nibiringite na huyu wa F-F, mpaka ajue umuhumu wa M-F
 
😂🤣Basi mdogo wangu ushaanza nongwa, ninapotia mguu nawe umo.. mdogo wangu mie sipendi competition, ndio maana hao wengine nimewaachia nyinyi, mie nataka nibiringite na huyu wa F-F, mpaka ajue umuhumu wa M-F
Yule umeniachia , akaja mwenye mji na mimi nikakimbia 😆 kumbe na hapa tena umo bwashe? Sikujua ni mgongano wa kimaslai tu mkali 😅
 
Mbavu zangu, wewe jimalize tu ila hadi raia watoke na wajeda wao ndio utakua my valentine🎊🥳💐
 
Unataja kumbe yupo kifuani mwa kajamaa nako kapo humu kanakuchora tu kwa kuisifia na kujipendekeza kwa chombo yake , hizo mbaga kwa sasa nimestaafu bwashee karibu mbege hapa
Situmii mbege mangi, nina vitu vyangu na pombe sio kipaumbele changu😅😅😅
 
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?

Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
FAIZA FOXX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…