Bahati mbaya Sana wanawake, wadada kwa ujumla ndio wahanga wakuu wa vicoba na michezo(ule mtindo wa kupeana hela kiasi kadhaa , alafu kila siku/wiki/mwezi mtu mmoja anatoka mpaka mzunguko unaisha )
Mwanaume unaejielewa huwezi kuruhusu mke/mpenzi wako akashiriki kwenye huu upuuzi! Mda mwingine wanawake wanajikuta wanaingia katika madeni ama hata kusaliti mahusiano kisa tu apate hela ya mchezo ! Na huko majumbani mnabana bajeti na kusingizia mahitaji yasiyo ya lazima kisa tu hela ya vicoba/michezo !
Hela yako mwenyewe huwezi kuitunza ? Mpaka umpe mtu akutunzie ? Tengeneza kibubu tunza, ama tunza kwenye simu/account bank! Ishu Ni kwamba ukishajiwekea malengo kila siku/wiki/mwezi natunza kiasi kadhaa kulingana na kipato chako unashindwaje ? Na ukiona huwezi kujisimamia kwenye Mambo madogo Kama hayo jitafakari Sana na uelewa wako !
Siku hizi sio wadada mpaka wake za watu wamekuwa Ni watu wa vibomu tu kila mda,,, unasikia hela ya mchezo, Mara sijui mwezi ujao tunavunja kikoba chetu, niazime hela ntakurudishia ! Hii imekuwa too much, niwaibie Siri huko mahofisini mpaka mitaani wake/wachumba zetu wanachapika Sana kwa tamaa zao hizi ndogo ndogo !
Boda boda, wauza maduka(mangi), wauza chips , wauza magenge, wauza mabucha, workmates wanawala Sana wake/na wachumba zetu ! Mazoea mazoea tu unakuta mtu ana uhakika mtu flani kila siku ananipa 5000 ya mchezo kwa Nini asikuvulie ch****pi ?
Maisha bila michezo/vicoba hayaendi ? siku hizi mtu unakuta kwenye simu ana group la michezo,,, kila ikifika muda flani anatuma hela zinakusanywa mhusika anapewa ! Unakuta mtu anazo group hata tatu eti michezo !
Ewe mwanaume kataa mpenzi/mke/mchumba kushiriki huu upuuzi ama ukubali uchapiwe kwa Sana na hela upigwe ,, !